Пісні
Артисти
Жанри
Обкладинка треку 2025

Більше пісень від Marioo

  1. TETE
  2. MVUA
  3. DUNIA
  4. OLUWA
  5. HA HA HA
  6. Sober
Усі пісні

Опис

Автор: Омарі Еллі Мванга

Автор: Стенс

Виробник: Clik Master

Композитор: Омарі Еллі Мванга

Композитор: Стенс

Композитор: Френк Джозеф Санга

Текст і переклад

Оригінал

Stanso.

Electric Monster.

Ai wewe, owe, eh.

Ah, baby ni bosti, kwani misimamo yako una muogopa nani?

Ai wewe, eh.

Baby ni juma, kwani misimamo yako una mufia nani?

Ai wewe.

Mi naona raha, kama tunaongera, na bila ta kuwagusa, bila ta kuwasema.

Mi naona raha, kama tunaoboa, bila ta kuwaomba, bila ta kuwakasi.

Ah, Mungu kaumba dunia ina watu na vyetu, ah.

Kaumba dunia ina vitu na vituko, oh.

Mungu kaumba dunia ina watu na vyetu, uu. Ila sisi tunavyopendana wataachana wao.

Tunadunda mpaka elfu mbili na tano, elfu mbili na sita, elfu mbili na saba. Oh, elfu mbili na nane. Tunadunda mpaka elfu mbili na tisa.

Oh, elfu mbili thelathini.

Oh, ila sisi tunavyopendana wataachana wao, oh.

Stanso.

Eh, baby namba ni fanya, baby namba ni fanya.

Fanya ni wewe kudaima mpaka mwisho.

Oh baby namba ni wewe, baby namba ni wewe.

Tania moyo wako daima, eh.

Wale wote wanaojifanya kweza, wakutabiru penzi, wakaotu wachinje, tunywe chuzi la kuongeza nguvu, ah.

Wale wote waombe ombea, watie chuu vipenzi, midomo tuwe fumbue, tupendane, waishiwe nguvu, ah, eh. Mungu kaumba dunia ina watu na vyetu.

Ila sisi tunavyopendana wataachana wao.

Tunadunda mpaka elfu mbili na tano, elfu mbili na sita, elfu mbili na saba.

Oh, elfu mbili na nane. Tunadunda mpaka elfu mbili na tisa.

Oh, elfu mbili thelathini.

Oh, ila sisi tunavyopendana wataachana wao, oh. Eh,

Stanso.

Ah, eh.

Переклад українською

Стансо.

Електричний монстр.

Ай ми, винні, ех.

Ah, baby ni bosti, kwani misimamo yako una muogopa nani?

Ай, ну, а.

Baby ni juma, kwani misimamo yako una mufia nani?

Ai wewe.

Mi naona raha, kama tunaongera, na bila ta kuwagusa, bila ta kuwasema.

Mi naona raha, kama tunaoboa, bila ta kuwaomba, bila ta kuwakasi.

Ah, Mungu kaumba dunia ina watu na vyetu, ah.

Kaumba dunia ina vitu na vituko, oh.

Mungu kaumba dunia ina watu na vyetu, uu. Ila sisi tunavyopendana wataachana wao.

Тунадунда мпака ельфу мбілі на тано, ельфу мбілі на сита, ельфу мбілі на саба. Ой, ельфу мбілі на нане. Tunadunda mpaka elfu mbili na tisa.

О, elfu mbili thelathini.

О, ila sisi tunavyopendana wataachana wao, oh.

Стансо.

Ех, дитинко намба ні фанья, дитинко намба ні фанья.

Fanya ni wewe kudaima mpaka mwisho.

О, крихітко намба ні веве, дитинко намба ні веве.

Tania moyo wako daima, ех.

Wale wote wanaojifanya kweza, wakutabiru penzi, wakaotu wachinje, tunywe chuzi la kuongeza nguvu, ah.

Wale wote waombe ombea, watie chuu vipenzi, midomo tuwe fumbue, tupendane, waishiwe nguvu, ah, eh. Mungu kaumba dunia ina watu na vyetu.

Ila sisi tunavyopendana wataachana wao.

Тунадунда мпака ельфу мбілі на тано, ельфу мбілі на сита, ельфу мбілі на саба.

Ой, ельфу мбілі на нане. Tunadunda mpaka elfu mbili na tisa.

О, elfu mbili thelathini.

О, ila sisi tunavyopendana wataachana wao, oh. ех

Стансо.

Ах, ех.

Дивитися відео Marioo, Stans - 2025

Статистика треку:

Прослуховування Spotify

Позиції в чартах Spotify

Найвищі позиції

Перегляди YouTube

Позиції в чартах Apple Music

Shazams Shazam

Позиції в чартах Shazam